Goodvision
JF-Expert Member
- Apr 4, 2012
- 858
- 467
Heshima mbele wadau.
Naulizia voucher za TCU zinapatikana wapi ili niweze kufanya application ya chuo. Nimekwenda bank ya CRDB na NBC kuulizia nkaambiwa bado hazijaja.
Mwenye kufahamu sehemu nyingine zinapopatikana nijuze tafadhali.