frank wakug
Member
- May 26, 2012
- 6
- 0
hizi benki jamani huwa csikii kabisa wakitoa nafasi au wenzangu mshasikia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wapi hapo?nackia undugu sana pale
sio lazima kujuana jamani...mbona kuna watu wamepata kihalali kupitia applications zao tu? visit their website and apply kama una vigezo vya kuwa bank officer
hizi benki jamani huwa csikii kabisa wakitoa nafasi au wenzangu mshasikia?
Hata mimi sijawahi sikia crdb/nmb wakitangaza nafasi, kuna ofisi/kampuni nyingi hapa TZ sijwahi sikia wakitangaza nafasi za kazi hata mara moja, ila kuna wafanyakazi wanafanyakazi, sasa sijui huwa wanawapata vipi hao wafanyakazi....
Hiyo ndiyo a.k.a kimya kimya au a.k.a chinichini na kujuana...
Nepotism, Favoritism, Corruptions in monetary terms, and mankind:[/QUOTE
ni vema kutumia rasilimali ulizonazo
weni wanaajiri kwa kupitia recruitment agencies
tatizo mmeshajiaminisha kwamba kila kitu ni adi kujuana.... kikubwa nachowashauri, jenga mtazamo chanya na UWE TAYARI KUFANYA KAZI MKOA WOWOTE. Maana mfano NMB hutangaza kazi KI-KANDA na kanda moja ilitangaza kazi mwaka jana ila waliweka TAHADHARI kwamba kwa MWENYE MTAZAMO WA KUTAKA KUFANYA KAZI MATAWI YALIYOPO MJINI, BASI ASIOMBE..