vp crdb na nmb?

Mi nishasikia wakitoa nafasi za kazi tena mara nyingi tuu ila upatikanaji wake(wa hizo kazi) ndio huwa siuelewi aisee.
 
Hata mimi sijawahi sikia crdb/nmb wakitangaza nafasi, kuna ofisi/kampuni nyingi hapa TZ sijwahi sikia wakitangaza nafasi za kazi hata mara moja, ila kuna wafanyakazi wanafanyakazi, sasa sijui huwa wanawapata vipi hao wafanyakazi....
Hiyo ndiyo a.k.a kimya kimya au a.k.a chinichini na kujuana...
 
tatizo mmeshajiaminisha kwamba kila kitu ni adi kujuana.... kikubwa nachowashauri, jenga mtazamo chanya na UWE TAYARI KUFANYA KAZI MKOA WOWOTE. Maana mfano NMB hutangaza kazi KI-KANDA na kanda moja ilitangaza kazi mwaka jana ila waliweka TAHADHARI kwamba kwa MWENYE MTAZAMO WA KUTAKA KUFANYA KAZI MATAWI YALIYOPO MJINI, BASI ASIOMBE..
 
kazi kujuana ndio kwani uongo!!! wachache sana wanapata kwa uhalali!!! wengine hadi utoe ktu kidogo
 
sio lazima kujuana jamani...mbona kuna watu wamepata kihalali kupitia applications zao tu? visit their website and apply kama una vigezo vya kuwa bank officer
 
Kweli unabaki pale pale,kupata kazi katika benk zetu kama nmb,nbc na crdb uwe na mtu wa kukubeba vinginevyo imekula kwako,kazi zao uwa wanaajiri kimya kimya,michakato yao ya ajira haieleweki ni undugu,urafiki na ujamaa umewajaa watu wa benk kazi zinazotangazwa ni chache mno na ni mara moja moja sana hasa za senior position hizo zingine wanabebana tu wewe kama una jamaa yako yeyote anafanya katika hizo benk muulize atakuambia ukweli!
 
sio lazima kujuana jamani...mbona kuna watu wamepata kihalali kupitia applications zao tu? visit their website and apply kama una vigezo vya kuwa bank officer

katika mia lazima uweke hata 20% wa kusambaza habari njema kwa wenye njaa
 

peleka cv hata kama hawajatangaza kazi wakikuona unafaa watakuita
 

mkuu tusidanganyane, last month nimesumbuka bure kuomba kazi NMB highland zone, nakuja kupata taharifa baadaye kwamba kazi zote zishanunuliwa, bado unataka niendelee kuapply hivi hivi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…