vp hizi water pump za jd

cannulla

Senior Member
Joined
Apr 14, 2012
Posts
110
Reaction score
175
wanajamii naomba msaada kujua ubora wa hiz water pump za JD kwa aliyekwisha zitumia,,,mi naitaj moja ya 3" kwa ajir ya bustan natoa maji mton mita ka 100 hiv na kumwagilia ekar ka 2,,,,
 
naomba msaada wa pump yoyote bora kwa ajir ya umwagiliaj kwa uzoefu wenu wana jamvi
 
Nunua na piga kazi jitahidi kuitunza vizuri uimara wake ni matunzo yako na setting ya eneo la umwagiliaji muone mtaalamu ili iendane na mahitaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…