vp kama jamaa anaamua kulichukua limoja chap na kulichomoa fyuse

Desierto

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
901
Reaction score
3,112

au haya ni ya kutoa tu machozi?

hapa ni sawa umkamate mhalifu halafu umuache aendelee kukaa na slaha yake uliyomkamata nayo

au inachukua sekunde ngapi jamaa kulifikia hilo bomu akitaka kujitoa sadaka.
 
Tanzania bado sana nashangaa unakuta mamia ya wanajeshi wanatembea katikati ya barabara tena kuna Magari kama mtu una kisasi unakodi scania ******** unasambaza watu zaidi ya miambili unakuwa umekufa kishujaaa na hata kama usipokufa jina lako litadumu enzi na enzi
 
Ile simu iliokuwa inadaiwa aliyopigiwa Muliro ilikuwa inatengeneza mazingira ya huu ujinga wa kitoto sana! Kudai maandamano ni ya watu wa nje! Nani wamemua kutoka Marekani? Crap!
 
Counter strike series ya M59 hayo Sina hakika Kama ni Multiple (4x) bang au single bang wakati wa kusach complex houses......sidhani Kama ni TRPA1 ( Chrolinated + Sioiconed ).
 
Polisi wetu ni wakarimu sana siku hizi.

Wanakukamata kisha wanakupa kiti na meza ili wakupige picha.
 
Nyumbu wa ccm wakimvamia msungu kunakaustaarabu fulani wanakuwa nacho.
 
mblack america mikononi ana mapete yake ya ulinzi alipewa na mganga wake wa mambele huko

Alafu mipete yote kaivalia kwenye midole ya kati, Yani ile like fu.ck Ya!! mbogamboga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…