B bishankara Senior Member Joined Feb 21, 2012 Posts 140 Reaction score 8 Jul 7, 2012 #1 Wale mlioomba kazi za mzinga vp mshaitwa interview? Nina dogo yuko bush na yy aliomba, sasa huwa ananisumbua kufuatilia magazeti kama ameitwa.
Wale mlioomba kazi za mzinga vp mshaitwa interview? Nina dogo yuko bush na yy aliomba, sasa huwa ananisumbua kufuatilia magazeti kama ameitwa.