the horticulturist
JF-Expert Member
- Aug 24, 2012
- 1,959
- 1,907
Ndg zangu mtandaon nahtaj kwenda kusomea udaktar wa mifugo kwenye vyuo vya serikali ngazi ya diploma,vp jnc ya kutuma maombi maana mtandaon kwenye wizara ya mifugo cjaona nafac zikitangazwa ilhali wizara ya afya wao washatoa au mifugo huwa wanachelewa kutoa!?
Kama huwa hwatoi mtandaon naomben msaada naomba hizo nafac
Kama huwa hwatoi mtandaon naomben msaada naomba hizo nafac