KabelindeDidier Member Joined Aug 29, 2013 Posts 58 Reaction score 8 Sep 25, 2014 #1 Nataka kujua kama watu wa equivalent yaan diploma wamo kwenye haya majina ambayo yanatolewa na vyuo mbalimbali au ni form six tu diploma wasubir nacte nisaidie hapo nijue.
Nataka kujua kama watu wa equivalent yaan diploma wamo kwenye haya majina ambayo yanatolewa na vyuo mbalimbali au ni form six tu diploma wasubir nacte nisaidie hapo nijue.
irumba1 JF-Expert Member Joined May 10, 2013 Posts 882 Reaction score 321 Sep 25, 2014 #2 Ngoja tusubir ndugu wengi ni wahanga wa hilo