Vp NHIF mbona kimya ?

Vp NHIF mbona kimya ?

amojokatani

Member
Joined
Aug 3, 2010
Posts
18
Reaction score
1
Jaman naomba mnijuze kwa yeyote mwenye taarifa, kuhusu zile tempo za NHIF, tulizofanyia Interview pale Kurasini - Ukumbi wa baraza la maaskofu, maana It's almost a month now tangu tufanye hiyo interview......!!
 
we bado unawazia hizo? Endelea na mambo yako tu.
 
nafasi hizi zilikuwa na malumbano jinsi ya kupata watu.sasa sijui wataendeleza utaratibu au technical know who?
 
Back
Top Bottom