Vp udom washaita watu interview?

Sanga n.

Member
Joined
Jun 28, 2011
Posts
51
Reaction score
11
Wadau wa JF, vp UDOM wameshaita watu kwenye interview ya nafasi zilizotangazwa tar. 28/07/2011 ambazo dedline ilikuwa tar. 10/08/2011
Nawakilisha mada.
 
Tayari wameitwa kwa njia ya simu na wamefanya interview last month. Hiyo ya tarehe 10 labda second round. Anyway, tusubiri taarifa zaidi.
 
Kaka usipotoshe umma, mwezi uliopita ndo deadline ilikuwa ya hizo kazi, hadi sasa wanaendelea na shortlist, hizi ni habari za ndani wadau, kuitwa itaanza around tar 10.
 
Duh Mkuu upo nondo! Vipi vigezo na masharti kuzingatiwa au ndio yale ya kupiga simu leo interview kesho?
Kaka endelea kuomba mungu tu, around tar 10, hizi ni habari za ndani
 
Reactions: SG8
Kaka usipotoshe umma, mwezi uliopita ndo deadline ilikuwa ya hizo kazi, hadi sasa wanaendelea na shortlist, hizi ni habari za ndani wadau, kuitwa itaanza around tar 10.
<br />
<br />
THANKS.
 
Tayari wameitwa kwa njia ya simu na wamefanya interview last month. Hiyo ya tarehe 10 labda second round. Anyway, tusubiri taarifa zaidi.
watu zaidi ya 500 waitwe kwa njia ya simu? acha kutuzuga wewe au na wewe ni magamba nini!
 
inawezekana jamaaa yuko sahihi! kwa sababu nakumbuka kuna watu wameshaenda kufanya interview! mmojawapo ni jamaa yangu wa karibu! labda kwa kuwa nafasi zilitangazwa nyingi wanaweza kuita tena!
 
Tayari wameitwa kwa njia ya simu na wamefanya interview last month. Hiyo ya tarehe 10 labda second round. Anyway, tusubiri taarifa zaidi.
submission ya barua ilikuwa deadline tar 10 mwezi uliopita,sasa naamini waombaji walikuwa wengi,itakuwa ni ngumu kwao kuita watu kwenye interview the same month, maana mchakato wa kuchambua barau si mrahisi sana
 
kuna kazi za aina mbili zilizotangazwa hapo. Sasa mjadala huu unahusu kazi ipi kati ya academic staff na zile za administrative staff?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…