the horticulturist
JF-Expert Member
- Aug 24, 2012
- 1,959
- 1,907
Enyi vijana kwani mmeandika lugha gani hii. Au nimekuwa zuzu ghafla. Hizi lugha za uchochoroni zinatuweka njia panda. Sijaelewa kitu.
Mbona lugha ya kawaida tu ndugu,unajua ukizoea kuchart sana kwa sms kuna kuwa na vifupisho vya kutumia sasa ndio shida sisi wa vifurushi unapata bundle na sms 100 kazi ndio hiyo hapa yenyewe kwenye kujibu hii yako imenipotezea time kuliko ningetumia short forms ambazo unasema kidogo zinakupiga chenga mkuuEnyi vijana kwani mmeandika lugha gani hii. Au nimekuwa zuzu ghafla. Hizi lugha za uchochoroni zinatuweka njia panda. Sijaelewa kitu.
Thnx ndg niko kwenye michakatoTcu application zilianza tangu 15 march 2013 kwa waliomaliza form 6 1988-2012 na mwisho ni tarehe 30 april.