Mwanza tayari, Lindi, tayari, Temeke wamelipwa baadhi, ilala bado kabisa. kinondoni wameambiwa hakuna malipo mpaka mwez wa 3 mwishoni.
Mkuu Mpatanishi,hyo mikoa tajwa hapo juu ni halimashauri zote walizopewa hizo staili au ni baadhi ya halimashauri ndani ya hyo mikoa? kwa kweli walimu wanaishi maisha magumu sana lakn tutawaonesha tu kua sie ni watu wa aina gani mara tuanzapo kupata staili zetu,nazungumzia elimu ya uraia kwa maeneo tutakapokuwepo walimu wenzangu
nambie mwl mwenzangu ?
Mkuu umeeleweka lakn kwa muda huu nakusanya data za uhakika ili nikuletee shule ambazo zinaingiza wanafunzi ambao wamefeli darasa la saba then wanajoin form one,nakusanya data then ntaziachia hapa hapa maana hawa ndio sehemu ya hizi zero mfano juzi mwanafunzi anaomba kuingia ndani eti anasema ''Please teacher may I go out? tusubiri kidogoMjipange baada ya madakatari nanyi mnaanza ili mambo yenu yawe sorted out once and for all.
ILi muachane na huu mgomo baridi wa kusababisha wanetu waferi mitihani na mtuu mpaka darasa la saba hajui kusoma
Mkuu nami ni mwalimu pia lakn kwa mfumo huu lazima tuanze kufumua system nzima ya CWT maana hawa ndio kikwazo kwetu kwa sababu kuna uzoefu wa kuandaliwa Migomo mwisho wa cku watu mnaambiwa Mgomo umesitishwa,kwa hyo hapa tuanze na hawa wazee wa CWT hope wanafahamika vemaUnajua sisi walimu wanatuonea sana very soon tutaungana na madaktari.
Ndugu walimu wapya 2012 naomba kujua je wenzetu kuna taarifa yoyote au kuna watu wameshapata salary ya ajabumwezi huu? hapa Kigoma hali ni ngumu sana kwa sababu tokea tumeripoti tarehe 1 Febr tumepewa hela ya cku tatu tuu kwa walimu wa Kigoma Vijijini haya ndio yanayotokea na DED msaidizi juzi ametujibu jeuri sana,mwenye taarifa zaidi atujuze ili tujue mpango mzima ukoje maeneo mengine ingawa alhamisi wiki hii tutaandamana kuelekea kwa walimuMkuu wa Mkoa maana watendaji wengine wameshindwa kusolve matatizo yetu kwa wakati,nawasilisha wadau wenzangu
Hilo litawezekana kama hamtawategemea CWT.Kwanini
msiwe wamoja kama madaktari? Mkiamua jambo mnaamua bila kugeuka nyuma
wala kuogopa vitisho vinavyotolewa na serikali
utaungana vp na mwl wa primary xul mwnye 4 ya 28 ambaye akifukuzwa hana plan b? Au mwl ambaye amebakiza mwaka mmoja astaafu kazi? Waalim wa degree na diploma waungane na lecturers waachane na pr. school teachers ndo wapanukishe! Otherwise they ar jus building castles in the air!!Hilo litawezekana kama hamtawategemea CWT.