VPL 2014/15: Kabla ya Okwi kuifunga Yanga, zilipigwa pasi 20

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
https://www.facebook.com/video.php?v=696127240546294
Hii ilikuwa ni mechi kali ya Simba Taifa Kubwa VS Yanga SCC. Jionee mwenyewe gonga one-two-one-two za Wanaume kiasi cha kufanya mtangazaji na mchambuzi Kaijage ''kusikitishwa'' na mpira mkubwa uliopigwa na Simba........Serunkuma....Mkude.....Singano ''Mesi''.....Hakika Simba ni chuo.
Mpaka Martin Sanya anapuliza kipenga cha mwisho Simba 1-Yanga 0
Tukutaje jioni kwenye mpira wa Simba na Ruvu Shooting
 
Hii ni moja ya gemu ambazo kamwe haziwezi kufutika katika kumbukumbu zangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…