masoud muktar
Member
- Apr 7, 2015
- 27
- 5
nimemskia Julio jana akilia sana kua amekurupushwa na hakujua kama kuna mechi jumatano. Kama ni kweli basi TFF mnaharibu soka la TZ
Leo Coastal watapigwa nyingi tena za kutosha tu.daima mbele 4-0
Ni kweli Mrisho Ngassa hatawepo leo uwanjan dhidi ya coast,....
mkuu hivi coutinho mbona simuoni siku hizi, kunani??
Hivi wewe Watu8 unashabikia timu gani ?, nakuonaga upo upande wa mikia fc sasa nashangaa unavyojua habari za ndani za Dar Young African
Ndiyo nataka ani PM anipe namba yake nimtumie m-pesa au tigo pesa kama kumtaka radhi. Watu8 huko uliko nitumie namba yako please au kama vp twende wote uwanjani nitakulipia kiingilio na bia nitakununulia pale nje kabla ya kuingia uwanjani na baada ya kutoka piaMkuu, Watu8 hajawahi kuwa mikia fc mtake radhi kwani ni mwana jangwani halisia.
Ndiyo nataka ani PM anipe namba yake nimtumie m-pesa au tigo pesa kama kumtaka radhi. Watu8 huko uliko nitumie namba yako please au kama vp twende wote uwanjani nitakulipia kiingilio na bia nitakununulia pale nje kabla ya kuingia uwanjani na baada ya kutoka pia
Lakini mkumbuke Bin sulum karudi rasmi coastal kuokoa jahazi na hii ndo mechi yake ya kwanza.
Watu8 = Young Africans Sports Club a.k.a. Timu ya Wananchi, usimfananishe na mikia kabisa, atatapika fasta akiendelea kusoma maneno hayo!Hivi wewe Watu8 unashabikia timu gani ?, nakuonaga upo upande wa mikia fc sasa nashangaa unavyojua habari za ndani za Dar Young African