ACCOUNT FULL
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 1,984
- 360
Dakika ya 29, kutoka Chamazi bado matokeo ni bila bila...
Msuvaaaaaaaaa
Yanga 2 coastal 0
Msuvaaaaaaaaa
Yanga 2 coastal 0
msuva! Yang 2!
nakwambia vijana wapo on fieeeeeeeh!
Hao el du sahel watakuwa wanatetemeka wakiona mambo ya Yanga yanayoendelea sasa
Msuvaaaaaaaaa
Yanga 2 coastal 0
Hawa Coastal watashuka daraja.msuva! Yang 2!
Toka lini ukaumia kwa mke uliye muacha, Simba hatukumuacha Tambwe ili huko kwingine asiende kufunga hapana tulimuacha akaboreshe kiwango chake.
Hayo majambazi kutoka tunisia yatakuwa yametuma mwakilishi aje achunguze mechi za yanga, sijui atakuwa ana report vp mechi ya leo
Hawa Coastal watashuka daraja.