simba anakila sababu ya kufugwa mechi ya leo
Vipi mlioko Tanga tupeni updates huko
Mmeshapigwa hahahaah
Mkuu Casuist tusaidie na matokeo ya Tanga
Kwa huko tanga nadhani hayo ndio matokeo ya mwisho.Tanga bado bila bila, ni half time Mgambo 0 - 0 Yanga
Mkuu Casuist tusaidie na matokeo ya Tanga
Matokeo kutoka viwanja vingine
Stand 0-1 Mwadui
Mgambo 0-0 Yanga
Goli la mapema kabisa