Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
- Thread starter
-
- #41
Mtibwa kaingiaje hapa mkuu??
Au kisa kasikia kocha Meck Mexime basi akajua ni Mtibwa.!Achana nae huyo Mshabiki Hewa. Ashazoea rede huku hakumfai
Danny agrey ni nani?Danny Agrey mimi huwa sijibu maswali ya kipuuzi.Kwa akili yako huyo kipa amecheza katika hali ya kawaida? Ok! Lengo si Yanga kuwa bingwa,basi mtakua mabingwa kwa namna yeyote.