VPL leo Simba vs JKT Ruvu tupeane uhondo wote hapa

SniperBoi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2016
Posts
1,103
Reaction score
1,129
KIKOSI VS JKT LEO, OMOG AMPANGA KOTEI AKATE UMEME WA WANAJESHI, MKUDE ASOGEZWA NAMBA NANE, PASTORY APEWA TISA

1. Daniel Agyei
2. Janvier Bukungu
3. Mohamed Zimbwer Jr
4. Abdi Banda Jr
5. Method Mwanjale
6. James Kotei
7. Shiza Kichuya
8. Jonas Mkude
9. Pastory Athanas
10. Shiza Kichuya
11. Mohamed Ibrahim

SUB
Peter Manyika jr
Said Ndemla
Hamad Juma
Jamal Mnyate
Laudit Mavugo
Novert Lufunga

Moses Kitandu
 
Game ngumu lakini pia Pastory Athanas kama Centre Forward anakosa ubunifu sana
Dakika ya 34 bado 0-0
 
Msisahau mechi ya raundi ya kwanza iliisha bila bila
 
Muzamiru Yassin aliipa Simba goli dakika ya 48

So hadi sasa Simba 1 JKT 0
 
Tunaongoza had mda huuuu
 
Reactions: Lee
Kipa wa JKTalikuwa anaanguka anguka ikapigwa move kipa wa JKT akaugonga ngumi mpira lakini na yeye anaanguka tena, ikapigwa krosi Muzamiru akajitwisha mbele ya beki wa JKT
 
Natafuta jina la mfungaji kwa upande wa line up ya Simba sijamuona, nisaidieni watakata rufaa hawa jamaa
 
Mnyama lazima abebe ubingwa maana yeboyebo washapotea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…