Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
hiyo ndio yanga
Duuuuuuuuuuuuuuuuuh hawa jamaaa hawafungi tena. Coastal union wanapoteza nafasi muhimu sana
Yanga hamna kitu. Mkikutana na forward Kali basi mnakufa.
Leo coastal wamekosa goli 5
safari ya ubingwa hiyoNaaam....hili ndo chama kubwaaa
Yanga hamna kitu. Mkikutana na forward Kali basi mnakufa.
Leo coastal wamekosa goli 5
safari ya ubingwa hiyo
hayo maneno yako tu.Itaishia katikati