Mtani upo??
Coastal wanajifanya barcelona.
Nipo kaka....kampeni zimetupunguzia muda wa michezo...
Goli zuri sana
Asante kwa appreciation Mkuu.
Hivi hii ishu ya Mkwasa kupewa timu ya taifa na huku bado akiwa yanga kama msaidizi imekaaje????
Hivi hii ishu ya Mkwasa kupewa timu ya taifa na huku bado akiwa yanga kama msaidizi imekaaje????