Vpl leo tar 13/09/2015 Uwanja wa Taifa, Yanga vs Coast Union saa 10:00 Jioni

12' Mins | Yanga FC 1 - 0 Coastal Union

Simon Msuva 07' ( Young African FC)
 
15' Mins | Yanga FC 1 - 0 Coastal Union

Simon Msuva 07' ( Young African FC)
 
Niyonzima anakosa goli hapa LA wazi kabisa
 
Tunakosa goli la waziiii kabisa. Dah hii nafasi tutaijutia. Haruna niyonzima ni balaaaaaa
 
Niyonzimaaaa...anakosa nafasi ya wazi
 
20' Mins | Yanga FC 1 - 0 Coastal Union

Simon Msuva 07' ( Young African FC)
 
Faulo kuelekea coastal adeyoum ahmed anamchezea ndivyo sivyo mbuyu twite
 
Niyonzima anajua sana, bado sijaona vitu vya kamusoko, Ngoma wa kawaida sana sijaona umuhimu wake.
 
Coastal wanafanya mabadiliko dakika ya 22
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…