( VPL ) Ligi Kuu Tanzania Bara ni timu Gani Ina ukuta Mgumu?

Sodoku

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2016
Posts
1,271
Reaction score
2,903
Nimefikiria kwa Umakini jambo hili kwa Umakini na kujiuliza mpaka sasa ni Team Gani ambayo ina Ukuta Mgumu sana mpaka sasa kwenye Ligi Kuu ya Tanzania Bara?

Ni team gani imefungwa Goa chache sana mpaka sasa?
Team gani imekuwa na Mabeki wanaoelewana na watulivu?
Kipa gani ambay kiuhalisia anastahili pongezi kwa kuokoa michomo mikali?
Kipa gani ambaye kutokana na Beki yake anaweza hata akawa kule Golini analala tu au sometime wakati mechi ikiendelea anaenda kupiga stori na kocha wake? kutokana na uimara wa beki wake?
 
1477236329186.jpg

HII HAPA TIMU YA WAZALENDO TOKA ENZI HIZO ZA LEYLAND
 
Yanga hatunaga malalamiko kama nyinyi ,jana tulivyoshinda mlisema tumenunua mechi
 
Mnyama cku zote huwezi mgusa kizembe hadi ashibe ndo atakurusu umguse..mnyama hadi sasa karuhusu goal 3 pekeee na kupachika magoal 21 na anapoint 29..huyu ndo simba
Mkuu, kiuhalisia ni goli 2 tu.. Maana lile la tambwe ni goli hewa.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Nimefikiria kwa Umakini jambo hili kwa Umakini na kujiuliza mpaka sasa ni Team Gani ambayo ina Ukuta Mgumu sana mpaka sasa kwenye Ligi Kuu ya Tanzania Bara?

Ni team gani imefungwa Goa chache sana mpaka sasa?
Team gani imekuwa na Mabeki wanaoelewana na watulivu?
Kipa gani ambay kiuhalisia anastahili pongezi kwa kuokoa michomo mikali?
Kipa gani ambaye kutokana na Beki yake anaweza hata akawa kule Golini analala tu au sometime wakati mechi ikiendelea anaenda kupiga stori na kocha wake? kutokana na uimara wa beki wake?
Simba S.C
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom