Nimefikiria kwa Umakini jambo hili kwa Umakini na kujiuliza mpaka sasa ni Team Gani ambayo ina Ukuta Mgumu sana mpaka sasa kwenye Ligi Kuu ya Tanzania Bara?
Ni team gani imefungwa Goa chache sana mpaka sasa?
Team gani imekuwa na Mabeki wanaoelewana na watulivu?
Kipa gani ambay kiuhalisia anastahili pongezi kwa kuokoa michomo mikali?
Kipa gani ambaye kutokana na Beki yake anaweza hata akawa kule Golini analala tu au sometime wakati mechi ikiendelea anaenda kupiga stori na kocha wake? kutokana na uimara wa beki wake?