Vpl mbabe wa mikia wafia kwa Lipuli

liganga4

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2010
Posts
293
Reaction score
195
Vpl imeendelea leo katika viwanja vitatu, katika hali isiyo tarajiwa wale walio toboa tundu wamejikuta wakiangukia pua kwa wanna kamwene na hivyo kuleta ahueni pale msimbazi.
 
Vpl imeendelea leo katika viwanja vitatu, katika hali isiyo tarajiwa wale walio toboa tundu wamejikuta wakiangukia pua kwa wanna kamwene na hivyo kuleta ahueni pale msimbazi.
Tatizo kila timu inakamia kw simba tu, hata yanga wanaikamia simba.
 
Kwa kutumia vipimo vya kwaida ambayo havihitaji umiliki wa shahada ya chuo kikuu, u ovu watimu unapimwa na matokeo zidi ya mpinzani wake. Msimu uliopita simba alipigwa na timu iliyo karbia kushuka faraja mechi zote, msimu huu tundu limetobolewa na timu iyocheza play off. Simba inanebwa na media za kibongo kiuhalisia haina ubora huo. Lakini marefa wetu ni changamoto nyingine na kwa hili si simba pekee.
Pia siku hizi kuna wachambuzi uchwara wengi sana.
Tatizo kila timu inakamia kw simba tu, hata yanga wanaikamia simba.
 
Ukapimwe mkopo..
 
Mikia hamna kitu pale bila tigo pesa,ile juzi kule shy walijaribu kucheza bila tigo pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…