VPL: Simba SC vs Ruvu shooting na Coastal Union vs Azam FC

Simba wanakosa sana yanaweza kujirudia ya TANGA hapa.
 
Hivi pale Tanga huyo Okwii alikuwa majeruhi siku ile maana nasikia bila Okwii hawashindi na labda leo watashinda kwa vile yumo.
 
Hata sare si mbaya sana kwenu simba sc ko muendelee kuomba.
NAMI NAWATAKIA SARE NJEMA.
 
Jukwaa limepooza sana. Ninakosa ile raha ya JF niliyoizoea. Enyi mikia njooni jukwaani mtuletee updates.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…