VPL: Simba VS Majimaji FC, Simba yairarua Majimaji bao 4-0 uwanja wa Taifa

45+3' Simba SC 2-0 Majimaji FC
 
Naona katikati kuna shida kidogo Leo.ila iwe mchana iwe usiku point 3 tunachukua
 
Mpira ni mapumziko hapa uwanja wa Taifa

Simba SC 2-0 Majimaji FC
 
Naona katikati kuna shida kidogo Leo.ila iwe mchana iwe usiku point 3 tunachukua
Inatokana mechi yenyewe. Majimaji wako taratibu sana hivyo kusababisha mchezo kupooza
 
Inatokana mechi yenyewe. Majimaji wako taratibu sana hivyo kusababisha mchezo kupooza
Hapana majimaji wanajua kua silaha ya simba ni midfield ndio maana wamejaza watu wengi sana katikati

hiyo ndio imefanya kocha kumtoa mwambeleko ili mzamiru awasaidie zaidi akina mkude

kingine nikua kotei hayumo uwanjani yeye hua anamsaidia sana mkude kwenye ukabaji ba kudominate gemu yenyewe

mtazamo wangu lakini
 
kocha akifanya sub katikati na ikafiti watakula wiki.
Wapi Dada yangu shabiki mzuri na neno lake:Woooyoooooooo......
 
Kwenye uwanja wa Namfua mkoani Singida

Singida United 0-0 Tanzania Prisons
 
46' Mpira umeanza kipindi cha pili. Na Simba wanafanya mabadiliko anatoka

Juuko anaingia James Kotei
 
Kipindi cha lala salama naona timu zote zinafunguka kila cmba anamiliki zaidi mpira
 
Goo oooo laaaa nje. Golikipa anaokoa kazi mzuri ya Mzamir Yassin
 
John Bocco anakwendaaaa la inakuwa kona
 
53 ' Goooooooooaal Emmanuel Okwi anaandika bao la tatu baada piga nikupige lango la Majimaji FC

Simba SC 3-0 Majimaji FC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…