VPL: Simba VS Majimaji FC, Simba yairarua Majimaji bao 4-0 uwanja wa Taifa

58 ' Majimaji FC wanafanya mabadiliko anatoka Paul anaingia Alex Kondo
 
Six Mwasekaga anaingia upande wa Majimaji FC
 
Kapombe anakwendaaaa anawekwa chini. Ni faulo Inapigwa

Kichuyaaaaa njeee
 
Mohamed japhar anagonga moja. Lakini mpira unatoa nje
 
Peter Mapunda anakwenda benchi na nafasi yake anachukua Jerry Tegete
 
66' Simba SC 3-0 Majimaji FC
 
Bocco, Ndemlaaaa hatari anapiga nje.
 
68 ' Bocco anakwendaaaa Okwiiiii Okwiiiii Goooooooooaal

Kazi mzuri ya Bocco kukimbia na mpira na kumpa Emmanuel Okwi na kufunga bao la nne.

Simba SC 4-0 Majimaji FC
 
Alex Kondo anakwenda goal laaaa nje. Unapiga nyavu ndogo kwa nje
 
Kikoti anakwenda anapiga la nje. Ni goal kick hapa uwanja wa Taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…