Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Nasikia Yanga wanataka kumshitaki TFF ili azuiliwe kupiga kona.Kichuya anapiga kona tamuuuu
Hizi ni sifa sasa.Halafu sometimes huwa sifurahishwi na haya Masifa ya Simba...
Simba hii Simba kweli mkuuNilikuelewa mkuu kwamba mwendo wa 4G. This is Simba bhana
Hukumuona Juma Kaseja alivyokuwa na furaha akiwa na Manara baada ya pambano, inhekuwa Ulaya Kaseja angesugua sana benchiDuh! Na Kagera Sugar je?