Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
Sharubu akishinda atakuwa kahonga tuu. Na leo shost yake tushamfanya kinyago cha ngoma ya Kigodoro
Umesema hao wachezaji ni watu wa Tigopesa hayumkini ndio maana hata mjiite wakimataifa au wakipemba raundi yenu ya mwisho ni ya pili. Nini sababu mnatumia sana tigopesa kwa wachezaji wa timu pinzani ooh poor you!
Juma kaseja kapangua krosi straight kwa juuko murshid, njama hizi. Kacheki kaona murshid yuko peke yake pembeni ya mwamba na kupangua direct na jamaa kafunga kiulaini
Huu ushabiki huu, kwa hiyo Kaseja alitoa pasi kwa mfungaji.