OSOKONI
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,965
- 5,339
Mlioko uwanjani au karibu na media tupia matokeo hapa
======================
Timu ya soka ya Yanga leo imefanikiwa kuifunga timu ya soka ya Mbeya City magoli matano kwa bila katika mchezo wa ligi VPL uliofanyika katika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam.
Magoli ya Yanga katika mchezo huo yalifungwa na mshambuliaji wao wa kimataifa kutoka Zambia Obrey Chirwa magoli 3 na Emanuel Martin magoli 2