Nani mfungaji boss?Yanga anaongoza mbili nunge
Asante sanaYanga Sc 2_0 Mbeya City
Chirwa 20
Martin 23
vipi mkuu
Bao mbili za fastafasta hivyovipi mkuu
chuma kiponde kingali cha motoBao mbili za fastafasta hivyo
Siyo ulaini bali ni ubora wa timu waliyokutana nayoMbeya City wameshafungwa 2 kwa 0.
Leo wako lainii, ile nguvu wanayotumia wakikutana na Simba sc haipo tena.
Watapigwa hata 5.
Mbaya mno kwa wazee wa pwenti za mezani!Taarifa mbaya kwa maandamano fc hizi
Chirwaa tena..Yanga Sc 2_0 Mbeya City
Chirwa 20
Martin 23