HesabuKali
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 2,791
- 5,687
Malalamiko fcKwani hujui Mbeleko SC wazee wa mlungula?
Kwani ile sabuni mnayosema wamefulia imeshamalizika?Kwani hujui Mbeleko SC wazee wa mlungula?
Nani kapiga la nne4G hiyo
Ipi hiyo Mbeya city????Hii timu haikupaswa kushiriki League ndogo namna hii
Ila pale ilipofungwa moja la offside ilistahili?Hii timu haikupaswa kushiriki League ndogo namna hii
Mmeanza kutafuta sababu sasaWalikula ganji waikazie simba, huu mpira sio ule waliocheza na simba hii timu ichunguzwe
Mbeya city na mikia fc hii league ni saizi yao,kwa yanga labda ipelekwe league ya spainIpi hiyo Mbeya city????