VPL tarehe 19/11/2017 Yanga yaichabanga Mbeya City magoli 5-0

Mimi sio mshabiki wa yanga ila chirwa kapiga Hart trick, hao wengine nimewasahau
 
Hii game unaweza sema Mbeya City wameuza mechi asee,wanakaba Kimdebwedo sana
Hahahaha kiongozi mara hii umesahau kua hao mbeya city walikua wanacheza na timu iliyokulaza na viatu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…