kambagasa
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 2,269
- 1,803
Tangia asubuhi wananipeleka machaka ambayo ndio dream yangu kuyafikia siku nikitoboa. Kuna muda wamenipeleka kwa Trump,sijakaa vizuri wakanipeleka Belgium bado natafakali wakanishusha Paris kwa Emanuel Macron!! Nikiwa bado sina hili wala lile tayari washanipeleka German kwa mama yenu Angela Merkel[emoji847]