Elections 2010 Vuai Atawajaza Wazanzibari Mapesa...

Elections 2010 Vuai Atawajaza Wazanzibari Mapesa...

Questt

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2009
Posts
3,010
Reaction score
422
Mh. Shamsi Vuai Nahodha Kasema akichaguliwa atwajanza Wazanzibari Mapesa.....Isije kuwa kama Mwenyekiti wa chama UDP alivyotaka kutujaza mapesa ila hukchaguliwa. Je Kama Vuai akichaguliwa ataweza Kuwajaza mapesa Wazenji???
 
Nilimshangaa sana pale alipokuwa anatangaza CV's yake kwamba yeye ndie Waziri pekee aliyefanya kazi na mawaziri watatu..
 
Back
Top Bottom