Questt JF-Expert Member Joined Oct 8, 2009 Posts 3,010 Reaction score 422 Jun 28, 2010 #1 Mh. Shamsi Vuai Nahodha Kasema akichaguliwa atwajanza Wazanzibari Mapesa.....Isije kuwa kama Mwenyekiti wa chama UDP alivyotaka kutujaza mapesa ila hukchaguliwa. Je Kama Vuai akichaguliwa ataweza Kuwajaza mapesa Wazenji???
Mh. Shamsi Vuai Nahodha Kasema akichaguliwa atwajanza Wazanzibari Mapesa.....Isije kuwa kama Mwenyekiti wa chama UDP alivyotaka kutujaza mapesa ila hukchaguliwa. Je Kama Vuai akichaguliwa ataweza Kuwajaza mapesa Wazenji???
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,401 Jun 28, 2010 #2 Nilimshangaa sana pale alipokuwa anatangaza CV's yake kwamba yeye ndie Waziri pekee aliyefanya kazi na mawaziri watatu..
Nilimshangaa sana pale alipokuwa anatangaza CV's yake kwamba yeye ndie Waziri pekee aliyefanya kazi na mawaziri watatu..