Vuguvugu la Katiba Mpya huwa linakuja automatically, siyo lile la Kikosi Kazi cha Prof. Mukandala au Maridhiano

Vuguvugu la Katiba Mpya huwa linakuja automatically, siyo lile la Kikosi Kazi cha Prof. Mukandala au Maridhiano

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kama Wananchi Wanaotaka Serikali 1 au 3 ndio sasa tutasikia.

Vinginevyo tuendelee na Serikali zetu 2 kwa heshima na utii kwa mujibu wa Katiba ya JMT na ile ya Jamhuri ya Zanzibar.

Jumaa kareem!
 
Muungano huu kwa faida ya Nani Kama viongozi was upande wa pili wanakuja kuuza ardhi ya Tanganyika! Rejea sakata la loliondo kuuzwa lilianza kipindi Cha utawala wa mwinyi amekuja kumalizia SSH wote kutoka kuleeeeeeeeeeeeeeeeeeeee,kwanini asiuze magufuli au mkapa? Bandari ya Dar,kulekuleeeeeeeee SSH anatokea huko vipi,tushawishike kuwa Hawa viongozi was kutoka huko wa ajenda zao vifuani za kuiangamiza Tanganyika,muungano wa Nini Tena? Tumeshajua Nia zao ovu!!!!!!!!!!! MBAYA zaidi anayeuziwa ni yule yule mwarabu
 
Ukiangalia kiundani yaani viongozi wa Tanganyika kama hawana uchungu na inchi yao,yaani inakuwa kama Tanganyika ni mwanaume na zanzibar mwanamke, na huyu mwanaume hana sauti wala uchungu na ndugu zake wakati yeye anamiliki mali zote ndani ya familia

Lakini mwanamke anawajali ndugu zake kwa kuwasaidi kuwapa mali ya mume na kuuza anavyotaka ,huu ni mfano kwa Viongozi wa CCM wasio na akili kama kina msukuma
 
Kiuhalisia Zanzibar ndiye Mwanaume kijeba!
 
Katiba ni takwa muhimu la wananchi sio hisani ya kuletewa na kikosi kazi au vyama vya wanasiasa.
 
Kwanini sir100 auze Bandari? Ndivyo ilani ya CCM ilivyomtuma?
 
Back
Top Bottom