johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Simple muungano uvunjwe hatuutakiKama Wananchi Wanaotaka Serikali 1 au 3 ndio sasa tutasikia.
Vinginevyo tuendelee na Serikali zetu 2 kwa heshima na utii kwa mujibu wa Katiba ya JMT na ile ya Jamhuri ya Zanzibar.
Jumaa kareem!
Mzanzibar anawapa waarabu wenzake kila kituHatutaki muungano kabisa, Kama Mzanzibari ameuuza Bandari zote nchini.
Mlima Kilimanjaro wanauchukua Afghanistan πππMzanzibar anawapa waarabu wenzake kila kitu
Wachaga hawatakubali ardhi yao kijinga hivyoMlima Kilimanjaro wanauchukua Afghanistan πππ
Nilisikia redioni kwamba ardhi ni mali ya serikali inayosimamiwa na rais.Ina maana walinidanganya?Sintokubali mpaka niupate ukweli na uhakika.Wachaga hawatakubali ardhi yao kijinga hivyo
Sawa comradeNilisikia redioni kwamba ardhi ni mali ya serikali inayosimamiwa na rais.Ina maana walinidanganya?Sintokubali mpaka niupate ukweli na uhakika.
Kiuhalisia Zanzibar ndiye Mwanaume kijeba!Ukiangalia kiundani yaani viongozi wa Tanganyika kama hawana uchungu na inchi yao,yaani inakuwa kama Tanganyika ni mwanaume na zanzibar mwanamke, na huyu mwanaume hana sauti wala uchungu na ndugu zake wakati yeye anamiliki mali zote ndani ya familia
Lakini mwanamke anawajali ndugu zake kwa kuwasaidi kuwapa mali ya mume na kuuza anavyotaka ,huu ni mfano kwa Viongozi wa CCM wasio na akili kama kina msukuma
KIA ishaondoka wachagga walko kina Felix waliishia kulialia tuWachaga hawatakubali ardhi yao kijinga hivyo
Tulia wewe KIA bado ipo salamaKIA ishaondoka wachagga walko kina Felix waliishia kulialia tu
Endelea kuota!Tulia wewe KIA bado ipo salama