Habari wanajamvi, nimekua nkisikia kuwa tank la mafuta katika gari lina vyumba kwa ndani, nlipouliza nkaambiwa vyumba vnasaidia mafuta kuingia mengi zaid kuliko tank lisilo na vyumba hata kama yote yana ujazo sawa, kwa weny uelewa je hii kitu ni kweli au?