nauza vumbi la dagaa maarufu kama dagaa nyama au dagaa wa zanzibar .vumbi hili hutumika kama sehemu muhim katika mchanganyiko wa chakula cha kuku!!!ninapatikana tanga na pia tunaofisi dodoma morogoro na dar!bei ni elfu 1700 hadi 2000 kwa kilo!!inaweza kuzidi kidogo au kupungua kulingana na idadi mtu anayohitajia na mahali alipo!!!!pia dagaa wenyewe wanapatikana kwa bei nafuu na ya ushindani
ilala sokoniDar upo sehemu gani
hapana ndugu ni kwa ajili ya chakula cha kukulina ongeza nguvu za kiume
KAMA la Kongo!lina ongeza nguvu za kiume