Prince Akeem
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 884
- 376
kwani wewe ulitaka iweje baada ya kuzama?Wakuuu za saa hizi?
Siku hizi kila nikikutana na mtoto ambaye ninamzimia huwa dushe likizama wazungu wanatoka faster mpaka naulizwa unaumwa.
Nimepiga mdalasini na asali ila hola
Nimeeenda gym holaaa.
Natafuta vumbi la m congo nasikia ndio lenyewe.
Naomba muuzaji ajitokeze na mtumiaji pia atoe ushuhuda.
kwani wewe ulitaka iweje baada ya kuzama?
Ndio maana wanaume tunakufa mapema sana katika harakati za kumridhisha mwanamke, jikite katika mazoezi achana na madawa. Wahenga wanasema humu kila siku huwezi shindana na kipochi manyoya ukabaki salama.
kwani kumfikisha mwanamke inaitaji kuzamisha na kukaa dkk kumi?Angalau baada ya dakika 10 bao la kwanza
Sasa simfikishi mwenzangu
kwani kumfikisha mwanamke inaitaji kuzamisha na kukaa dkk kumi?
alosema hayo nani?Chini ya dakika saba huwezi mridhisha labda utumie ulimi na vidole
PRINCE Kwan unataka ushindane na Kei yu EM ei? hutaweza .kubali tu uwezo wako
ama kweli...Shukuru hata angalau inasimama
Inshort unakula chakula kibovu.
Shukuru hata angalau inasimama