Vumbi la mkongo

Ndio maana wanaume tunakufa mapema sana katika harakati za kumridhisha mwanamke, jikite katika mazoezi achana na madawa. Wahenga wanasema humu kila siku huwezi shindana na kipochi manyoya ukabaki salama.
Usiwaze sana kumridhisha mwanamke kama haridhiki,haridhiki tu na ukizoea kutumia vitu vya kusisimua mwili siku usipotumia saikolojia itakusumbua huenda hata ukashindwa kupaform kabisa
Na hiyo ndio itakufanya sasa uone sasa kesho naenda kugongewa kwa sababu kazi imenishinda!!
Isiwe ivyo
Alafu unaonekana ni memba wa chaputa au ulikuwaga memba zamani sasa tatizo la kuingia na kumaliza haliepukiki ila baada ya shot moja hali huwa kawaida tu

Jambo la kuumiza kichwa ni kwamba sekunde chache tu wazungu hao alafu starter kuwasha gari tena baada ya nusu saa mwanamama mzuka mpaka unapotea lazima ufadhaike

Cha kufanya chukua vimbegu vitatu au vinne vya kitunguu saumu tafuna asubuhi na mchana tafuna tena vingine hii ni dawa kuliko kawaida kuliko unavyofikiria yani ukitafuna kama leo na kesho ukikaa mashine yenyewe inagasi inataka kazi fanya ivyo kila siku ilo tatizo utalisahau na kama ukitaka unaweza kupitia na mchuzi wa pweza fanya hiyo iwe sehemu ya maisha kama wewe ni mtumwa wa hayo mambo
 
Mmmh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…