VUMBI VUMBIIIII

naona umeanza kuonyesha udakitari wako

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hahaaa kumbe nawewe wamjua ..mimi nilidhani ni demiss peke yke
 
Acha utapeli ndugu. Huu ujanja wa kuchanganya dawa ya ganzi na miti mie nshaufanyaga sana. Tafuta hela kwa njia ingine na sio kuwaibia watu
 
Ningekuwa karibu ningemfungulia id mpyaaa
hahaaa sasahata kama akfngua mpya basis asilete huo ujinga ujinga wake wa vumbi LA Kongo humu ..watu hatutaki kupatwa na mafua
 
hahaaa sasahata kama akfngua mpya basis asilete huo ujinga ujinga wake wa vumbi LA Kongo humu ..watu hatutaki kupatwa na mafua
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Naona mwenye Uzi kala ban..mods na hlo vumbi mkalimwage pale jangwani mpunguze tope..mshenz hyu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…