mwandende JF-Expert Member Joined Feb 16, 2017 Posts 11,005 Reaction score 20,805 May 16, 2023 #61 Kaselele said: Mkuu wachawi huaga wanaanza kama hivi. Asa mwenzako akikosa mkataba wewe unafaidika na nini. Au uliwai kuingia kiwanjani bila ya jez ya Simba. Click to expand... Ukweli lazima usemwe,, Jezi za Simba hazina ubora..
Kaselele said: Mkuu wachawi huaga wanaanza kama hivi. Asa mwenzako akikosa mkataba wewe unafaidika na nini. Au uliwai kuingia kiwanjani bila ya jez ya Simba. Click to expand... Ukweli lazima usemwe,, Jezi za Simba hazina ubora..
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Jun 16, 2023 Thread starter #62 Asante sana Simba kwa kuchukua huu ushauri wetu