Ndg.MWASALEMBA.
Senior Member
- Dec 18, 2013
- 141
- 280
Nicheki katika simu boss wangu,utakaa ushindwe bei,zaidi ya cheapless!
Jumla ipo hivi:
10 pairs and above, kila kimoja 35,000/=TZS...
mkuu nataka pear mbil za kuvaa mwenyewe
Wadau kwa yeyote mwenye duka hapa Tanzania, ama kwa yeyote mwenye kufanya biashara ya viatu, Raba hizi tuwasiliane kwa bei ya jumla tu kuanzia pieces 10...
Bei ya chini kabisa, kina rangi tano kama zinavyooneka, size namba ni 40 mpaka 44.
Mawasiliano: 0713 430 630
Whatsapp: 0757430630.
Ahsante
Viatu vya kike hauna?
Tuliopo mikoan inakuwje kiongozi
Kiongozi naomba nisaidie kuunganisha hizi picha ktk starting thread
Hyo yenye kombati yatawakuta ya diamond