JOTO LA MOTO
JF-Expert Member
- Apr 11, 2018
- 758
- 555
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu Mtu akiingia na Helmet kuna uwezekano wa kuwa 90% ni mwizi.Ukishavaa Helmet akili inakuwa Hacked.
Huyo sio Mwizi, alikuwa anajaribu zali.Huyo Mwizi kama comedian.
Au ni Mtu wanafahamiana.Huyo sio Mwizi, alikuwa anajaribu zali.
Huenda aisee, maana Mwizi hana hata silaha.Au ni Mtu wanafahamiana.
Exactly, wazo limemjia akiwa eneo la tukio.Huyu mwizi nadhani alikuwa hajapanga kuja kuiba. Kamkutq tu jamaa kalala akaamua a take advantage
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Jamaa sio Mwizi, alitest zali tu.Huyu mwizi nadhani alikuwa hajapanga kuja kuiba. Kamkutq tu jamaa kalala akaamua a take advantage
Sent using Jamii Forums mobile app
Weza kuta ni Mtu ametaka kumuibia Anko wake.Huenda aisee, maana Mwizi hana hata silaha.
Hata mimi nilidhani hivyo.Weza kuta ni Mtu ametaka kumuibia Anko wake.