Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Niliingia uwanjani mapema sana. Mbali na kufuata burudani ya soka. Kushangilia timu ya taifa langu. Pia miongoni mwa vitu vitu vinavyonipeleka uwanjani ni totozi bana. Sijui bwege gani huyo aliwashawishi madem wajae uwanjani. Taifa Taifani siku hizi kuna warembo kuliko disko. Tulikatazwa kuita kwa Mchina na mwenye digrii zake. Lakini hilo neno lilikuwa swaga tu. Si kwamba watu hawajui kuwa pale ni kwa Mkapa. Basi sasa tunaomba turuhusiwe kupaita kwa Mkapa na ‘Totozi’. Tukipiga kampeni ya kuwa Taifani kuna totozi nyingi. Uwanja utakuwa unajaa sana. Maana wanaume sijui tukoje. Tukisikia sehemu flani kuna madem basi akili zinaturuka. Hata leo hii tukipewa taarifa kuwa Jehanam kumejaa madem wengi wapweke.
Mimi nikifikisha miaka 50. Nitaanzisha kanisa langu ambalo limejaa madem kama wote. Taarifa zikishazagaa mitaani kuwa Kanisa la Dk Levy, lina madem kuliko Coco Beach. Utashangaa muitikio wa masela na wazee wanavyojazana kanisani. Hili dili nitalipiga uzeeni.
Ndo pale Taifa siki hizi, kuna madem wengi sana. Unadhani wanafuatilia mpira basi? Muda wote wako ‘bize’ kuchati. Wako uwanjani kimwili, kiakili wapo kwenye magrupu yao ya ‘wasapu’. Basi juzi kuna wakati niliacha kuangalia mpira nikawa natazama totoz tu.
Na hii ni baada ya zile ndezi za ‘Ikwetorio Gine’ kutupia mgoli wa Ulaya Ulaya. Mijitu yenyewe miili mikubwa halafu yote inanukia pafyumu za Ulaya. Upande wetu tulikuwa na Samatta tu wa Ulaya Ulaya. Yenyewe mpaka yaliyokaa benchi ya Ulaya. Goli lao lilinipotezea munkari wa kutazama nikawa bize na totoz.
Msela wangu Kelvin Patrick Yondani ‘Vidic’, alinirudisha mchezoni. Baada ya kuwaonesha madogo cha kufanya uwanjani. Alikuwa anapanda utadhani kaahidiwa ubunge. Alikuwa anatoa pasi tamu kuliko viungo wake. Kuna waliofunga magoli na kuna Kelvin Yondani. Yeye ndo alikiwa nyota wa mchezo kwangu.
Yondani aliupiga mwingi sana. Ndiye chachu ya yale magoli mawili tuliyowapiga wale kengepori. Kila mtu ashinde kwao ndo dawa yao. Kuna raha ya magoli na raha ya ushangiliaji wa madem. Wewe endelea kukaa bar kama muuza supu sisi kwetu Taifa Taifani. Huko ndo kwenye totozi bikira tupu. Madem wote wanaoenda Taifa Taifani wataolewa haraka. Maana pale uwanjani kuna dawa ya mba, upele, mapunye, fangasi na sumu ya panya. Na zaidi panatoa baraka za wasichana kupata wanaume wa ndoa. Hakuna dem anayeenda taifa akakosa mume.
Kwa mara kwanza ndo nimeona refarii anayewabeba wageni. Pamoja na kuwabeba lakini tumewatandika. Eti kuna jamaa akawa anasema kuwa Samatta hachezi Kisamatta Samatta anahofia kuumia. Eti hataki kuikosa ‘Yuefa’. Watu wanaa sana. Binafsi niliwapuuza sikuwasikiliza wanaosema hivyo. Ila jamaa alikosa magoli mengi.
Wale wa Libya tutawapiga nje ndani. Kwanza wanachezea ugenini mechi zote mbili. Hawaruhusiwi kuchezea kwao kwa ukosefu wa amani. Narudia tena, ukitaka mke nenda Taifa kuna mizigo kama Ushelisheli. Wote ‘nechro kala’, uso ‘softi’, vibambadi, rangi ya kunde wameenda hewani sekunde.
Mwanaume aliye jela yupo huru zaidi kuliko mwanaume aliyemuahaidi mwanamke pesa. Ukitaka ndoa ya haraka nenda Taifani.