Vunja mbavu

Mallata Jr.

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2014
Posts
461
Reaction score
392
MWALIMU: haya watoto leo kila mtu atuambie kazi anayofanya mzazi wake, haya wewe?
MTOTO 1: baba yangu injinia
MWALIMU: Safi na wewe
MTOTO 2: Mama yangu nesi
MWALIMU: Safiii, wewe
MTOTO 3: Mama yangu changudoa
MWALIMU: Pumbafu mkubwa wewe, kwanini unamdhalilisha mama yako, haya nenda mwenyewe kwa mwalimu wa nidhamu mwambie kwanini nimekufukuza...........baada ya dakika kumi mtoto karudi
MWALIMU: Umemwambia?
MTOTO 3: Nimemwambia, kasema kila kazi ni muhimu wake, kaniomba na namba ya simu ya mama yangu
 
Namimi nitupieni hizo namba...huyo mwalimu alomfukuza kakurupuka tuu coz mtoto hana hatia na anaonekana yuko honest japo pia inawezekana hajafka umri wa kujitambua
 
haya mbavu nshavunja na nimezidiwa hapa mana cna mbavu.fanya mpango wa hospital
 
Itakuwa vyema ukinywa super glue,hospital utalazwa kipindi kirefu hadi ku-recover shughuli za kijamii zita dorola...
 
mtoto hana kosa kabisa na amemtafutia mteja mama yake
 
Namimi nitupieni hizo namba...huyo mwalimu alomfukuza kakurupuka tuu coz mtoto hana hatia na anaonekana yuko honest japo pia inawezekana hajafka umri wa kujitambua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…