Vurugu korogwe ni BALAA

Mpwechekule

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2012
Posts
221
Reaction score
55
Kutokana na ujambazi na uuwaji wa madereva wa bodaboda unaotokea mara kwa mara hapa korogwe, madereva hao wameamua kusaka mtandao wa majambazi na kuua mmoja nakuendelea na kusaka wengine ambao pia wanawafahamu lakini polisi wamewazuia na ndipo mabom na risasi zikarindima mbaya sina hakika na majeruhi kwani raia nao wamebeba silaha za jadi, nimelazimika kukimbilia nje kidogo ya mji, kwamkole kukwepa adha hiyo
 
mpaka sasa majambazi wawili wamesha uawa na boda boda bado wana hasila na polisi kwa sababu wamemjeruhi boda boda kwa risasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…