Vurugu kubwa zatukuta udsm hali boom tayari lishaingizwa.

Vurugu kubwa zatukuta udsm hali boom tayari lishaingizwa.

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,699
Reaction score
4,117
Baada ya siku kadhaa kuwepo kwa tetesi za mgomo hapa udsm, leo tena limeibuka upya.
Hali ya vurugu za hapa na pale ikiwapo kuwatoa watu madarasani na mabwenini ilianza mida ya saa mbili asubuhi, hali watu wakijua ni kwasababu ya kucheleshwa kwa boom baadhi yao wakaliunga hali iliendelea kusambaa chuo kizima, wakati huo revolution square ikiwa imehamishiwa utawala.Hapo ndo kila ki2 kelele za madai na hoja mbali2 zilitolewa na wanaharakati.Kufikia saa kumi boom likawa lishaingizwa kwa wenye a/c zao crdb.
Pamoja na hayo hali ilizidi kuwa tete pale utawala sababu kuu ni kuwarudisha wenzetu 8 ambao walibaki kati ya 43 walorudishwa, vurugu hzn ziliendelea mpaka kufikia hatua ya kupiga mawe Mashuttle mawili yani macosta yanayotumika kupeleka wenzetu mabibo.Mpaka saa mbili usiku ndipo hali kidogo imetulia.
-Nini hatima ya hao 8 na
NINI KITAJIRI KESHO! Tuonane kesho Mungu akipenda,


Nikiripoti toka hapa hall 5 firsty floor room namba...
Mimi ni Bampami wa jfff!!
 
Back
Top Bottom